Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2017

CRM LAND CONSULT (T) LTD IS A BEST FIRM IN LAND PLANNING AND MANAGEMENT IN TANZANIA

CONSULTANCY SERVICES WE PROVIDE CRM LAND CONSULT (T) LTD offers high quality, cost effective professional services to clients in the fields of: Urban planning, Design and management Environmental planning and Management Housing and Infrastructure management Topographical and cadastral   Surveying Project Planning and Management Feasibility study and property appraisal Research in land, environment and human settlement related issues 1.       Urban Planning, Design and Management Services i.         Preparation of town planning drawings, Surveying, Road grading, Marketing and Facilitation of   Title ii.       Land Use Plans, Strategic Urban-Regional   Development Framework, iii.     Preparation of Environmental Profiles iv.     Preparation of   Master Plans v.       Preparation of Resettlement Pl...

CRM LAND CONSULT (T) LTD YAONGOZA UPANGAJI MIJI TANZANIA: Yapokelewa kwa vifijo na ndelemo wilayani Gairo

Picha
PROGRAMU YA KUPANGA, KUPIMA NA KUMILIKISHA ARDHI GAIRO MJINI IMEANDALIWA NA KUWASILISHWA NA ISMAIL R. CHINGWELE MTAALAM MSHAURI WA MIPANGO MIJI NA ARDHI CRM LAND CONSULT (T) LTD DAR ES SALAAM-TANZANIA 1.0   Utangulizi Tanzania inakabiliwa na ongezeko kubwa la watu na mahitaji ya ardhi kwa matumizi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii. Ukuaji wa kasi wa miji usiozingatia mpangilio wa mipango miji pamoja na kuongezeka kwa kasi kwa ujenzi holela kumesababisha kuwa na makazi yasiyo na huduma muhimu za kijamii pamoja na miundombinu na mazingira yasiyo safi na salama kiafya, ambayo, pamoja na mambo mengine, husababisha magonjwa ya milipuko. Pia ujenzi holela huikosesha Serikali mapato yatokanayo na kodi za ardhi. Aidha, kutokuwepo kwa mpango wa matumizi ya ardhi katika maeneo ya vijijini, hususan yanayotenganisha maeneo ya malisho ya mifugo na kilimo, uvamizi na uanzishwaji holela wa mashamba, ni chanzo cha muingiliano wa matumizi ya ardhi baina ya wa...